Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bi Mariam Salehe Mgaya kuwa Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji kwenye Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI), kabla ya uteuzi huu, Mgaya alikuwa akikaimu nafasi hiyo.
Tanzania ni nchi iliyojaliwa kuwa na mali asili nyingi, zikiwemo Madini aina mbalimbali kama Dhahabu, Urani, Almasi, na Tanzanaiti. Aidha Tanzania imejaliwa kuwa na Gesi Asilia nyingi. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilijiunga na asasi ya EITI February 2009, madhumuni ya uhamuzi huu wa Serikali ni kuongeza Uwazi na Uhajibikaji katika usimamizi wa mapato yanayotokana na uvunaji wa Rasimali za Madini, Gesi Asili na Mafuta.
TEITI Office Dodoma
Postal Address: S.L.P 361 Kikuyu Ave.
Telephone: +255688386546
Mobile: +255688386546
Email: info@teiti.go.tz
Haki Miliki ©2017 TEITI .Haki zote Zimehifandiwa