Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini yatembelea Soko la Madini Geita na Maonesho ya Madini
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishatin na Madini leo Septemba 23, 2019 imetembelea Soko la Madini Geita. Vile vile, Kamati hiyo imetembelea Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini yanayoendelea mkoani humo. Kamati hiyo inaongozana na Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo.
TEITI Office Dodoma
Postal Address: S.L.P 361 Kikuyu Ave.
Telephone: +255688386546
Mobile: +255688386546
Email: info@teiti.go.tz
Haki Miliki ©2017 TEITI .Haki zote Zimehifandiwa