WAKUU WA MIKOA YA MARA NA SHINYANGA WATEMBELEA MABANDA YA WIZARA YA MADINI NA TUME YA MADINI
Leo tarehe 23 Septemba, 2019 Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima na Mkuu wa Mkoa wa Shinganga, Zainab Telack wametembelea mabanda ya Wizara ya Madini na Tume ya Madini katika Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji wa Madini yanayoendelea mjini Geita.
TEITI Office Dodoma
Postal Address: S.L.P 361 Kikuyu Ave.
Telephone: +255688386546
Mobile: +255688386546
Email: info@teiti.go.tz
Haki Miliki ©2017 TEITI .Haki zote Zimehifandiwa