Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Adam Malima afungua rasmi Maonesho ya wiki ya Madini jijini Mwanza. Aidha Maonesho hayo yanaongozwa na Kauli mbiu ya wiki ya Madini ni "Amani iliyopo Tanzania, itumike kuwa fursa kiuchumi na Tanzania kuwa kitovu cha Biashara ya Madini Afrika".
TEITI Office Dodoma
Postal Address: S.L.P 361 Kikuyu Ave.
Telephone: +255688386546
Mobile: +255688386546
Email: info@teiti.go.tz
Haki Miliki ©2017 TEITI .Haki zote Zimehifandiwa