Naibu Waziri Mkuu na Waziri na Nishati, Dkt. Doto Biteko akikagua mabanda ya wachimbaji wa madini na wadau mbalimbali ikiwa ni sehemu ya hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya 7 ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika mkoani Geita.
Mbali maonesho hayo teknolojia mbalimbali zinazotumika katika utafiti, uchimbaji na uongezaji thamani wa madini zinaoneshwa katika maonesho hayo.
TEITI Office Dodoma
Postal Address: S.L.P 361 Kikuyu Ave.
Telephone: +255688386546
Mobile: +255688386546
Email: info@teiti.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.