UJUMBE WA KATIBU MKUU MAHIMBALI KWA WANAWAKE*
Siku ya Wanawake Duniani!
Leo, naungana na Watanzania wenzangu katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani.
Kutoka kwa wanasayansi wanaosimamia migodi hadi kwa wachimbaji wadogo wa madini wanaojituma kila siku kwa nguvu za mikono yao, wanawake wamethibitisha wanaweza kufanya kazi kubwa anazoweza kufanya mwanaume.
Wizara ya Madini inatambua mchango wa Wanawake katika kufanikisha malengo ya sekta hii.
Pamoja, tunaweza kujenga ulimwengu ambapo sauti ya kila mwanamke inasikika na kila ndoto inawezekana.
Tuendelee kuzungumzia mafanikio ya wanawake ili ziwe hadithi za kuwafundisha ujasiri watoto wetu.
TEITI Office Dodoma
Postal Address: S.L.P 361 Kikuyu Ave.
Telephone: +255688386546
Mobile: +255688386546
Email: info@teiti.go.tz
Haki Miliki ©2017 TEITI .Haki zote Zimehifandiwa