WANAWAKE TEITI WAUNGANA NA WENGINE DUNIANI KWENYE SIKU YA MAADHIMISHO YA KITAIFA - ARUSHA
Baadhi ya Watumishi Wanawake wa Taasisi ya Uhamasishaji na Uwazi katika rasilimali Madini, Mafuta na Gesi Asilia - TEITI ni miongoni mwa wanaoshiriki Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani inavyofanyika kitaifa jijini Arusha.
Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo kitaifa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu.
Kaulimbiu ya Maadhimisho hayo ni Wanawake na Wasichana 2025, Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji"
TEITI Office Dodoma
Postal Address: S.L.P 361 Kikuyu Ave.
Telephone: +255688386546
Mobile: +255688386546
Email: info@teiti.go.tz
Haki Miliki ©2017 TEITI .Haki zote Zimehifandiwa