Posted on: October 5th, 2024
Serikali inapanga kununua helikopta kwa ajili ya uchunguzi wa madini nchi nzima ili kuwasaidia wachimbaji wadogo kutambua maeneo yenye madini na kuyafikia kwa urahisi.
<br>
<br>Akitoa taarifa ya W...
Posted on: October 5th, 2024
Naibu Waziri Mkuu na Waziri na Nishati, Dkt. Doto Biteko akikagua mabanda ya wachimbaji wa madini na wadau mbalimbali ikiwa ni sehemu ya hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya 7 ya Kitaifa ya Teknolojia ya ...
Posted on: October 5th, 2024
Mwenyekiti wa vyama vya uchimbaji madini nchini (FEMATA), John Bina amesema tayari wamekaa na serikali na kukubalina kuendelea kuiuzia dhahabu Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa silimia 20 kama ilivyopen...