Leo Mei 01, 2024 TEITI imeungana na Wizara pamoja na Taasisi nyingine za Serikali kwenye Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika katika ngazi ya mkoa jijini Dodoma. "Kaulimbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni "Nyongeza ya mishahara ni m