Leo tarehe 25 Septemba, 2019 Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa ametembelea banda la Wizara ya Madini na Taasisi zake kwenye Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji wa Madini yanayoendelea mjini Geita. Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali kwenye ziara hiyo