Mkurugenzi wa STAMICO Dkt. Venance Mwase amewapongeza Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali Madini Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) kwa kazi wanayofanya na pia kwa kupewa nafasi heshima ya kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Bodi ya EIT