Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania FEMATA John Bina pamoja na wadau wengine wametembelea banda la TEITI kwenye Wiki ya Maonesho ya Madini inayoambatana na Kongamano la Wachimbaji wa Madini yanayoendelea katika viwanja vya Jakaya Ki