Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde leo Septemba 29, 2023 ametembelea banda la Wizara ya Madini, Taasisi zake na Wadau wa Madini katika Maonesho ya Sita (6) ya Kimataifa ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea katika viwanja vya Bombambili mjini Geita.